• HABARI MPYA

  Friday, March 28, 2014

  KASEBA NA MASHALI WAPIMA UZITO TAYARI KWA PAMBANO LAO KESHO PTA

  Bondia Japhet Kaseba akiinua mikono juu wakati wa kupima uzito kwa ajili ya pambano lake la ubingwa wa Taifa, uzito wa Middle dhidi ya Thomas Mashali kushoto litakalofanyika Ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam kesho. Picha na superdboxingcoach.blogspot.com
  Thomas Mashali kushoto na Japhet Kaseba wakiwa na mkanda ambao wataugombania kesho
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KASEBA NA MASHALI WAPIMA UZITO TAYARI KWA PAMBANO LAO KESHO PTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top