Sergio Aguero akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao matatu Manchester City dakika za 28, 57 na 81 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya wenyeji, Aston Villa Uwanja wa Villa Park usiku wa jana, hiyo ikiwa ni hat-trick yake ya 12 kwenye Ligi Kuu ya England na kuwa mchezaji anayeongoza kufunga mabao matatu, matatu katika mechi moja. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Riyad Mahrez dakika ya 18 na 24 na Gabriel Jesus dakika ya 45 na ushei, wakati la Villa lilifungwa na Anwar El Ghazi kwa penalti dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Obi Toppin, Anfernee Simons, Cassius Stanley to Give HBCUs Dunk Contest Winnings
-
The 2021 NBA All-Star Weekend will be supporting historically Black
colleges and universities as well as COVID-19 relief and awareness for
communities of c...
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment