Mohamed Salah akishangilia na mtokea benchi Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 58 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Salzburg kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Red Bull Arena mjini Wals-Siezenheim. Bao la kwanza lilifungwa na Naby Keita dakika ya 57 na kwa ushindi huo Liverpool inatinga hatua ya 16 Bora kama kinara wa kundi kwa pointi zake 13, ikifuatiwa na Napoli yenye pointi 12, Salzburg saba na Genk pointi moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
76ers, Anthony Tolliver Reportedly Agree to 10-Day Contract
-
The Philadelphia 76ers have added more depth at forward after reportedly
agreeing to a deal with Anthony Tolliver. Per ESPN's <a...
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment