Raheem Sterling (kushoto) akishangilia baada ya kuwafungia mabao mawili mabingwa watetezi, Manchester City dakika za 50 na 70 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyej, Oxford United kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa jana Uwanja wa The Kassam. Bao lingine la Man City lilifungwa na Joao Cancelo dakika ya 22, wakati la Oxford United lilifungwa na Matt Taylor dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Leicester City 2-0 Chelsea: Leicester win to go top of Premier League
-
Leicester go top of the Premier League as goals from Wilfred Ndidi and
James Maddison secure victory against Chelsea.
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment