MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCELONA YAICHAPA ALAVES 4-1
Kutoka kulia Lionel Messi, Luis Suarez, Antoine Griezmann na Arturo Vidal wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa Barcelona wa 4-1 dhidi ya Deportivo Alavés leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Griezmann alifunga dakika ya 14, Vidal dakika ya 45, Messi dakika ya 69 na Suarez dakika ya 75 kwa penalti, wakati bao pekee la Alaves limefungwa na Pere Pons dakika ya 56 na kwa ushindi huo katika mchezo wa 18, Barca inafikisha pointi 39, tatu zaidi ya Real Madrid iliyocheza mechi 17PICHA ZAIDI GONGA HAPA
New Uganda Cranes jersey
-
The latest Uganda Cranes jerseys have been released ahead of the Total CHAN
Finals 2020 in Cameroon. The Umbro designed kits will be worn at the
tourname...
Guber election. Bauchi students endorse pate
-
Paul Orude, Bauchi Coalition of Bauchi State Students and Youths Movement
has endorsed Dr Muhammad Ali Pate of the People’s Democratic Party (PDP)
for ...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment