• HABARI MPYA

    Friday, December 20, 2019

    YANGA SC YASHUSHA MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANAKIPIGA GOR MAHIA YA KENYA

    Mkurugenzi wa Mashindano wa klabu ya Yanga SC, Thabit Kandoro (kushoto) akiwa na mshambuliaji Muivory Coast, Gislein Yikpe Gnamian aliyekuwa anachezea Gor Mahia ya Kenya baada ya kuwasili leo kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YASHUSHA MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANAKIPIGA GOR MAHIA YA KENYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top