• HABARI MPYA

  Monday, October 14, 2019

  WIJNALDUM APIGA ZOTE MBILI UHOLANZI YAICHAPA BELARUS 2-1

  Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Uholanzi dakika ya 32 na 41 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Belarus usiku wa jana Uwanja wa Dynama mjini Minsk bao la wenyeji likifungwa na Stanislau Dragun dakika ya 53 katika mchezo huo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WIJNALDUM APIGA ZOTE MBILI UHOLANZI YAICHAPA BELARUS 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top