• HABARI MPYA

  Sunday, March 03, 2019

  BARCELONA YAIPIGA TENA REAL MADRID 1-0 BERNABEU, RAKITIC HUYO

  Ivan Rakitic akinyoosha mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 26 akimalizia kazi nzuri ya Sergi Roberto  ikiilaza Real Madrid 1-0 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid katika mchezo La Liga. Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 26, ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi tano zaidi ya Atletico Madrid wanaofuatia nafasi ya pili ingawa wana mechi moja, wakati Real Madrid wanabaki nafasi ya tatu kwa pointi zao 48 za mechi 26 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAIPIGA TENA REAL MADRID 1-0 BERNABEU, RAKITIC HUYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top