• HABARI MPYA

  Saturday, December 15, 2018

  TFF YAWAPITISHA WAGOMBEA UJUMBE WA SIMIYU NA SHINYANGA KAMATI YA UTENDAJI KATIKA UCHAGUZI WAKE MDOGO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imefanya mchujo wa awali wa Uchaguzi mdogo wa TFF kwa Wagombea wa nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji anayewakilisha mikoa ya Simiyu na Shinyanga.
  Waliopitishwa katika mchujo huo wa awali ni Bannister Misango Rugora, Joseph Bihemo Timoth, Osuri Charles Kosuri na Kajanja Magesa Mugengere.
  Uchaguzi wa kujaza nafasi hiyo utafanyika Februari 2,2018.
  Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Malangwe Mchungahela akiwa kazini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAWAPITISHA WAGOMBEA UJUMBE WA SIMIYU NA SHINYANGA KAMATI YA UTENDAJI KATIKA UCHAGUZI WAKE MDOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top