• HABARI MPYA

  Thursday, December 06, 2018

  CAVANI AINUSURU PSG KUPIGWA UGENINI UFARANSA, SARE 1-1

  Edinson Cavani akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Paris Saint-Germain kwa penalti dakika ya 71 ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Strasbourg kwenye mchezo wa Ligue !, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Meinau. Bao la Strasbourg lilifungwa na Kenny Lala kwa penalti pia dakika ya 40 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAVANI AINUSURU PSG KUPIGWA UGENINI UFARANSA, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top