Mshambuliaji Wayne Rooney akiwa haamini macho yake baada ya kukosa penalti ya kwanza, DC United ikitolewa kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya ya 2-2 na Columbus Crew katika mchujo wa Ligi ya Marekani, maarufu kama MLS Alfajiri ya leo Uwanja wa Audi Field mjini Washington, District of Columbia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'What a goal!' Great Britton volley helps fire Weston-super-Mare through
-
Watch as Louis Britton scores a thunderous volley for Weston-super-Mare in
a 2-0 victory at Chelmsford City that sends them through to the third round
of t...
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment