• HABARI MPYA

  Friday, November 02, 2018

  KINDA BRAHIM DIAZ AIPIGIA ZOTE MBILI MAN CITY YAITUPA NJE FULHAM KOMBE LA LIGI

  Kinda Mspaniola, Brahim Diaz akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote dakika za 18 na 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Etihad na sasa kikosi cha Pep Guardiola kitakutana na mshindi kati ya Leicester City na Southampton katika Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KINDA BRAHIM DIAZ AIPIGIA ZOTE MBILI MAN CITY YAITUPA NJE FULHAM KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top