• HABARI MPYA

  Monday, November 12, 2018

  RONALDO AENDELEA KUNG'ARA SERIE A JUVE YAICHAPA MILAN 2-0

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kufunga bao la pili dakika ya 81 Juventus ikiilaza 2-0 AC Milan Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan usiku wa jana katika mchezo wa Serie A, bao la kwanza likifungwa na Mario Mandzukic dakika ya nane katika mchezo ambao mshambuliaji wa AC Milan, Gonzalo Higuain alikosa penalti dakika ya 41 kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 83 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AENDELEA KUNG'ARA SERIE A JUVE YAICHAPA MILAN 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top