Mshambuliaji wa Paris St Germain, Edinson Cavani akiondoka na mpira baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za nne, 11 na 53 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Monaco ya kocha Thierry Henry kwenye mchezo wa Ligue 1 Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Louis II mjini Monaco. Bao lingine la PSG lilifungwa na Neymar kwa penalti dakika ya 64 na sasa Thierry Henry anafikisha mechi sita tangu aajiriwe Monaco bila ushindi, mbili zilizopita pia akifungwa 4-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL releases schedule for Week 18 and confirms huge Sunday Night Football
showdown
-
The final round of the regular season will have massive implications for
how the playoffs and the road to the Super Bowl will take shape.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment