• HABARI MPYA

  Wednesday, November 01, 2017

  TAMBWE NA KAMUSOKO WALIPOSHINDWA KUFANYA MAZOEZI LEO YANGA

  Wachezaji majeruhi wa Yanga, mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe (kushoto) na kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko wakizungumza leo asubuhi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakati wenzake wanaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Singida United Jumamosi 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAMBWE NA KAMUSOKO WALIPOSHINDWA KUFANYA MAZOEZI LEO YANGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top