• HABARI MPYA

  Thursday, November 02, 2017

  REAL MADRID NA RONALDO WAO WATUNDIKWA 3-1 NA SPURS WEMBLEY

  Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Real Madrid wakiwa hawaamini macho yao baada ya kufungwa mabao 3-1 na Tottenham Hotspur katikaa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley. Mabao ya Spurs yamefungwa na Dele Alli mawili dakika za 27 na 55 na Christian Eriksen dakika ya 65 wakati la Real Madrid limefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID NA RONALDO WAO WATUNDIKWA 3-1 NA SPURS WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top