• HABARI MPYA

    Wednesday, March 22, 2017

    PODOLSKI NA LEROY SANE WAKIJIFUA NA UJERUMANI

    Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Lukas Podolski (kushoto) akiwa mazoezini na timu yake ya taifa, Ujerumani mazoezini kujiandaa na mchezo wa 130 tangu aanze kuchezea timu hiyo watakapomenyana na England leo Uwanja wa Signal Iduna Park. Kulia ni mshambuliaji wa Manchester City, Leroy Sane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PODOLSKI NA LEROY SANE WAKIJIFUA NA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top