Uwanja wa ndege wa Madeira utapewa jina la Cristiano Ronaldo ili kumpa heshima mshindi huyo wa mataji Ligi ya Mabingwa Ulaya, La Liga, Ligi Kuu England na kusumbuana mno na Lionel Messi katika kuwania Ballon D'Or miaka michache iliyopita. Utambulisho rasmi kwa Uwanja huo kwa jina lka Ranaldo utafanyika Machi 29, siku ambayo Ureno itamenyana na Sweden mjini Funchal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment