• HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2017

  BAO LA GRIEZMANN LAKATALIWA, UFARANSA WAFA 2-0 NYUMBANI BELE YA HISPANIA

  Antoine Griezmann wa Ufaransa akishangilia bao lililokataliwa baada ya kurudiwa kutazamwa kwenye teknolojia ya video katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Hispania jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Hispania walishinda 2-0 mabao ya 68' David Silva kwa penalti dakika ya 68 na Gerard Deulofeu dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAO LA GRIEZMANN LAKATALIWA, UFARANSA WAFA 2-0 NYUMBANI BELE YA HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top