• HABARI MPYA

  Wednesday, March 22, 2017

  SAMATTA ALIVYOWAONGOZA WENZAKE MAZOEZINI LEO TAIFA STARS

  Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akimtoka beki, Mohammed Hussein 'Tshabalala' katika mazoezi ya timu hiyo leo jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na michezo ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Botswana na Burundi Jumamosi na Jumanne 
  Kiungo Frank Domayo hapa akimiliki mpira mbele ya Nahodha Mbwana Samatta
  Mbwana Samatta akiambaa na mpira pembeni ya Frank Domayo 
  Mbwana Samatta akizungumza na winga wa Taifa Stars, Simon Msuva
  Wachezaji wa Taifa Stars wakikimbia katika mazoezi ya leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOWAONGOZA WENZAKE MAZOEZINI LEO TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top