Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, March 24, 2017

  SAMATTA MKUTANONI LEO KUHUSU MECHI YA STARS NA BOTSWANA

  Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta (kushoto) akiwa na Msaidizi wake, Jonas Mkude wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari hoteli ya Urban Rose, eneo la Kisutu, Dar es Salaam leo kuelekea mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Botswana kesho Uwanja wa Taifa, Jijini
  Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga (kulia) akimsikiliza kocha Muingereza wa Botswana, Petter Buffer wakati anazungumza na Waandishi wa Habari
  Nahodha mwingine Msaidizi wa Taifa Stars, Himid Mao akiwa na kocha wa makipoa, Patrick Mwangata 
  Kocha Mayanga na vijana wake wote wamesema wako tayari kwa mchezo wa kesho na wanatarajia ushindi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SAMATTA MKUTANONI LEO KUHUSU MECHI YA STARS NA BOTSWANA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top