• HABARI MPYA

  Thursday, March 23, 2017

  PODOLSKI AWATEKETEZA SIMBA WATATU SIGNAL-IDUNA, UJERUMANI YAILAZA 1-0 ENGLAND

  Nahodha wa Ujerumani, Lukas Podolski akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 69 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya England kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund, Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PODOLSKI AWATEKETEZA SIMBA WATATU SIGNAL-IDUNA, UJERUMANI YAILAZA 1-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top