• HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2017

  BENTEKE AFUNGA MAWILI, UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA URUSI

  Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 42 na 45 katika sare ya 3-3 na wenyeji, Urusi kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Olimpiyskiy Fisht, Sochi. Bao lingine la Ubelgiji lilifungwa na Kevin Mirallas wakati ya Urusi yalifungwa na Viktor Vasin dakika ya tatu, Aleksei Miranchuk dakika ya 74 na Aleksandr Bukharov dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENTEKE AFUNGA MAWILI, UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA URUSI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top