• HABARI MPYA

  Saturday, March 25, 2017

  TABASAMU LA BUFFON BAADA YA MECHI YA 1,000 BILA KURUHUSU BAO

  Kipa Gianluigi Buffon akiwa ameshika jezi namba 1,000 baada ya kucheza mechi yake ya 1,000 usiku wa jana Uwanja wa Renzo Barbera mjini Palermo, Italia wakishinda 2-0 dhidi ya Albania kufuzu Kombe la Dunia. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Soka (FA), Michele Uva PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TABASAMU LA BUFFON BAADA YA MECHI YA 1,000 BILA KURUHUSU BAO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top