Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, March 25, 2017

  IVORY COAST YAANZA KUREJESHA MAKALI, YAIBAMIZA 2-0 URUSI

  Jonathan Kodjia wa Aston Villa akishangilia baada ya kuifungia Ivory Coast bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa FK Krasnodar mjini Krasnodar. Bao lingine la Ivory Coast lilifungwa na Wilfried Zaha dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: IVORY COAST YAANZA KUREJESHA MAKALI, YAIBAMIZA 2-0 URUSI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top