Bastian Schweinsteiger akiwa ameshika jezi ya timu yake mpya, Chicago Fire jana wakati wa kutambulishwa kwake kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Chicago, Marekani kufuatia kufanya mazoezi kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na timu hiyo wiki hii kutoka Manchester United ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment