• HABARI MPYA

  Friday, March 24, 2017

  SENEGEL NA NIGERIA HAKUNA MBABE, SARE 1-1 LONDON

  Cheikh Ndoye wa Senegal (kushoto) akiudhibiti mpira dhidi ya Ogenyi Onazi wa Nigeria (kulia) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Hive, Barnet, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Senegal ilitangulia kwa bao la Moussa Sow dakika ya 54 kabla ya Kelechi Iheanacho kuisawazishia Nigeria dakika ya 83 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SENEGEL NA NIGERIA HAKUNA MBABE, SARE 1-1 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top