• HABARI MPYA

  Tuesday, March 28, 2017

  NAPE ALIPOMKABIDHI DK MWAKYEMBE OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO LEO DOM

  Aliyekuwa Waziri wa Habari Utamadunia Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akimkabidhi hati za makabidhiano ya Ofisi na Dk. Harison Mwakyembe anayechukua nafasi yake wizarani hapo mjini Dodoma leo baada ya mabadiliko yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli wiki iliyopita 

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAPE ALIPOMKABIDHI DK MWAKYEMBE OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO LEO DOM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top