• HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2017

  RONALDO AFUNGA LAKINI URENO YAPIGWA 3-2 NYUMBANI NA SWEDEN

  Cristiano Ronaldo akiifungia bao timu yake ya taifa, Ureno dakika ya18 jana ikifungwa 3-2 na Sweden Uwanja wa Maritimo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andreas Granqvist aliyejifunga dakika ya 34, wakati ya Sweden yalifungwa na Viktor Claesson mawili dakika za 57 na 76 na Joao Cancelo aliyejifunga dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA LAKINI URENO YAPIGWA 3-2 NYUMBANI NA SWEDEN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top