• HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2017

  ARGENTINA YAWEKEWA KIGINGI KUFUZU KOMBE LA DUNIA, YAPIGWA 2-0

  Juan Carlos Arce akishangilia baada ya kuifungia Bolivia bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Argentina jana Uwanja wa Hernando Siles mjini La Paz katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini. Bao la pili lilifungwa na Marcelo Martins Moreno dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARGENTINA YAWEKEWA KIGINGI KUFUZU KOMBE LA DUNIA, YAPIGWA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top