• HABARI MPYA

  Sunday, March 26, 2017

  DELEV AGONGA ZOTE MBILI BULGARIA YAITULIZA UHOLANZI 2-0

  Spas Delev akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Bulgaria dakika za tano na 20 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi usiku wa jana Uwanja wa Vasil Levski mjini Sofia, Bulgaria kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DELEV AGONGA ZOTE MBILI BULGARIA YAITULIZA UHOLANZI 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top