• HABARI MPYA

  Tuesday, March 28, 2017

  UWANJA WA TEVEZ WATEKETEA KWA MOTO LEO CHINA

  Uwanja wa Hongkou wa klabu ya Ligi Kuu China, Shanghai Shenhua iliyomsajili Carlos Tevez kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki Desemba mwaka jana ukiteketea kwa moto baada ya kuungua kuanzia Saa 2:30 asubuhi ya leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UWANJA WA TEVEZ WATEKETEA KWA MOTO LEO CHINA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top