Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Tuesday, March 28, 2017

  BRAZIL YAWANIA KUWA TIMU YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018

  Kocha wa Brazil, Tite akizungumza na wachezaji wake mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini dhidi ya Paraguay leo Uwanja wa Nacional de Brasilia Mane Garrincha mjini Brasilia. Brazil inahitaji ushindi ili kujihakikishia kuwa timu ya kwanza kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: BRAZIL YAWANIA KUWA TIMU YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top