Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, March 23, 2017

  NAPE APIGWA CHINI WIZARA YA MICHEZO, MWAKYEMBE APEWA MIKOBA

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Bara la Mawaziri kwa kumuondoa aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Nape Moses Nnauye na nafasi yake kuchukuliwa na Dk. Harrison Mwakyembe.
  Kabla ya uteuzi huo, Mwakyembe alikuwa Waziri  wa Katiba na Sheria na nafasi yake inajazwa na Profesa Palamagamba Aidan John Mwaluko.
  Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kwamba wateule wote wapya wataapishwa kesho mchana Ikulu mjini Dar es Salaam.
  Waziri mpya wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: NAPE APIGWA CHINI WIZARA YA MICHEZO, MWAKYEMBE APEWA MIKOBA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top