Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, March 27, 2017

  UJERUMANI YAWATANDIKA AZERBAIJAN 4-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Mario Gomez akienda hewani kuifungia Ujerumani bao la tatu dakika ya 45 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Azerbaijan usiku wa jana Uwanja wa Tofiq Bəhramov adına Respublika stadionu mjini Bakı, Baku katika mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Andre Schurrle mawili dakika za 19 na 81 na Thomas Muller dakika ya 36 wakati la wenyeji lilifungwa na Dimitrij Nazarov dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: UJERUMANI YAWATANDIKA AZERBAIJAN 4-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top