Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2017

  SANCHEZ AFUNGA, AKOSA PENALTI CHILE YASHINDA 3-1

  Alexis Sanchez akifumua shuti la mpira wa adhabu kuifungia Chile bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Venezuela jana Uwanja wa Monumental David Arellano mjini Santiago, Chile katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini. Mabao mengine ya Chile yalifungwa na Esteban Paredes dakika ya saba na 22 huku Sanchez akikosa penalti dakika ya 77, kabla ya Salomon Rondon kuifungia bao la kufutia machozi Venezuela dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA, AKOSA PENALTI CHILE YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top