• HABARI MPYA

  Sunday, March 26, 2017

  LUKAKU AINUSURU KIPIGO UBELIGIJI, AICHOMOLEA DAKIKA ZA JIONI YAPATA SARE 1-1 NA UGIRIKI

  Romelu Lukaku (kulia) akifumua shuti kuifungia Ubelgiji bao la kusawazisha dakika ya 89 ikitoa sare ya 1-1 na Ugiriki katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussel. Ugiriki walitangulia kwa bao la Kostas Mitroglou dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AINUSURU KIPIGO UBELIGIJI, AICHOMOLEA DAKIKA ZA JIONI YAPATA SARE 1-1 NA UGIRIKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top