• HABARI MPYA

  Saturday, March 11, 2017

  JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A, YAIPIGA 2-1 ROMA

  Paulo Dybala akiifungia kwa penalti Juventus dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Juventus mjini Torino katika mchezo wa Serie A usiku wa jana dhidi ya AC Milan. Juve ilishinda 2-1 bao lingine likifungwa na Medhi Benatia dakika ya 30, wakati la Milan lilifungwa na Carlos Bacca dakika ya 43 na sasa Kibibi Kizee cha Turin kinaongoza Serie A kwa pointi 11 kikitimiza pointi 70 baada ya kucheza mechi 28 zaidi dhidi ya AS Roma wenye pointi 59 za mechi 27 katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A, YAIPIGA 2-1 ROMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top