• HABARI MPYA

  Saturday, March 11, 2017

  BALOTELLI AFUNGA BAO LA 10 MSIMU HUU UFARANSA, NICE YATOA SARE NA CAEN

  Mario Balotelli akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kufunga bao lake la 10 msimu huu dakika ya 71, timu yake, Nice ikilazimishwa sare ya 2-2 Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice na Caen katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa. Bao lingine la Nice lilifungwa na Anastasios Donis dakika ya 77, wakati ya wageni yalifungwa na Ivan Santini dakika ya 36 na Yann Karamoh dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AFUNGA BAO LA 10 MSIMU HUU UFARANSA, NICE YATOA SARE NA CAEN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top