• HABARI MPYA

  Wednesday, November 02, 2016

  OZIL AIPELEKA ARSENAL 16 BORA LIGI YA MABINGWA

  Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi ikiilaza Ludogorets 3-2 katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Arsenal yalifunga na  Granit Xhaka na Ilivier Giroud, wakati ya Ludogorets yalifungwa na Jonathan Cafu na Claudiu Keseru PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OZIL AIPELEKA ARSENAL 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top