Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, November 24, 2016

  MESSI AIFUNGIA MABAO YOTE BARCELONA YASHINDA 2-0 SCOTLAND

  Muargentina Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao yote dakika za 24 na 55 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Celtic, Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Barca imesonga mbele pamoja na Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MESSI AIFUNGIA MABAO YOTE BARCELONA YASHINDA 2-0 SCOTLAND Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top