• HABARI MPYA

  Wednesday, November 30, 2016

  LIVERPOOL YAENDA NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI, DOGO WOODBURN AKIWEKA REKODI

  Ben Woodburn akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Leeds United kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England na kuweka rekodi ya mchezaji mdogo zaidi (miaka 17 na siku 45) kuwahi kuwafungia bao Wekundu hao. Bao la kwanza la Liverpool ambayo sasa inakwenda Nusu Fainali ya michuano hiyo, lilifungwa na Divock Origi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDA NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI, DOGO WOODBURN AKIWEKA REKODI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top