Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Tuesday, November 29, 2016

  NAPE ALIPOMPOKELEA ZAWADI RAIS MAGUFULI JANA

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea zawadi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli jana ofisini kwake mjini Dar es Salaam kutoka Mwenyekiti wa kikundi cha sanaa cha Angavu, Athumani Juma Salum (kushoto). Mwingine anayeshuhudia kushoto ni Katibu wa kikundi hicho, Oliver Charles
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: NAPE ALIPOMPOKELEA ZAWADI RAIS MAGUFULI JANA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top