• HABARI MPYA

    Friday, November 25, 2016

    UTAMBULISHO WA WAKUU WAPYA WA IDARA YA UFUNDI YANGA

    Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga (katikati) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kocha mpya wa timu hiyo, Mzambia George Lwandamina leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kutambulisha wakuu wapya wa idara ya Ufundi ya klabu hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Ufundi, Mholanzi, Hans van der Pluijm aliyekuwa kocha mkuu awali
    Hapa Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni ya Sanga
    Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni makao makuu ya klabu leo
    Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni makao makuu ya klabu leo
    Sanga akipiga makofi kufurahia wakati Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni makao makuu ya klabu leo
    Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo makao makuu ya klabu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UTAMBULISHO WA WAKUU WAPYA WA IDARA YA UFUNDI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top