Mshambuliaji wa Manchestr United, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 35 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Kundi A na kuweka rekodi ya mchezaji aliyewafungia mabao mengi kihistoria Mashetani Wekundu kwenye michuano ya Ulaya kwa kufikisha mabao 39. Mabao mengine ya United yalifungwa na Juan Mata dakika ya 69, Brad Jones aliyejifunga dakika ya 75 na Lingard dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment