• HABARI MPYA

  Wednesday, November 02, 2016

  MAN CITY WAIWASHA BARCELONA 3-1 LIGI YA MABINGWA

  Wachezaji wa Manchester City, kiungo David Silva (kushoto) na beki John Stones (katikati) wakifurahia wakati wanaungana na Kevin De Bruyne (kulia) kushngilia naye wakati wa mechi ya Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona ya Hispania usiku huu Uwanja wa Etihad. Mabao ya City yalifungwa na Ilkay Gundogan mawili na Kevin De Bruyne moja, wakati la Man City  lilifungwa na Lionel Messi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WAIWASHA BARCELONA 3-1 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top