• HABARI MPYA

  Sunday, November 27, 2016

  MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST HAM

  Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akikimbia na mpira kuurudisha katikati uanze tena baada ya kuisawazishia Manchester United bao dakika ya 21 katika sare ya 1-1 na West Ham United leo Uwanja wa Old Trafford kufuatia Diafra Sakho kutangulia kuwafungia wageni dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top