• HABARI MPYA

    Saturday, November 26, 2016

    VICTOR MOSES AING'ARISHA CHELSEA, YAILAZA 2-1 SPURS

    Mshambuliaji wa Chelsea, Victor Moses akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 51 wakiilaza 2-1 Tottenham Hotspur Uwanja wa Stamford Bridge, London. Christian Eriksen alianza kuwafungia wageni dakika ya 11, kabla ya  Pedro kuisawazishia The Blues dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VICTOR MOSES AING'ARISHA CHELSEA, YAILAZA 2-1 SPURS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top