• HABARI MPYA

  Wednesday, November 02, 2016

  LEWANDOWSKI AIPELEKA BAYERN MUNICH 16 BORA LIGI YA MABINGWA

  Wachezaji wa Bayern Munich wakimpongeza mwenzao, Robert Lewandowski wa tatu baada ya kuwafungia mabao yote katika ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya PSV ya Uholanzi kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la PSV lilifungwa na Santiago Arias na kwa ushindi huo Bayern inakwenda 16 Bora  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI AIPELEKA BAYERN MUNICH 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top