• HABARI MPYA

  Monday, November 28, 2016

  BARCELONA MAMBO MAGUMU, SARE TENA 1-1 NA REAL SOCIEDAD

  Lionel Messi akipambana na kiungo wa zamani wa Real Madrid, Asier Illarramnedi wakati wa mechi ya La Liga kati ya Barcelona na wenyeji Real Siciedad jana Uwanja wa San Sebastian timu hizo zikitoka sare ya 1-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA MAMBO MAGUMU, SARE TENA 1-1 NA REAL SOCIEDAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top